Kipindi cha mwisho wa mwaka ni wakati wa mapumziko ya wanafamilia kuelekea sikukuu ya Krisimasi na mwaka mpya. Kipindi hiki wanafamilia, ndugu na jamaa hukutana pamoja kufurahia majira haya kwa namna ...
Kutoka kwenye wasifu wa kuigiza filamu za kutisha Nicole Kidman hadi taswira Bob Dylan iliyomshirikisha Timothée Chalamet, hizi ndizo orodha ya filamu za kutazama mwezi huu. Chanzo cha picha, Disney ...
Juma hili katika makala ya Sanaa tunazungumza na Kulwa Kikumba maarufu kwa jina la "Dude" ambaye ni msanii maarufu wa filamu za Tanzania au Bongo Movie, tega sikio upate kufahamu mambo mbalimbali ...
Wasanii nchini Tanzania hivi karibuni waliandamana kupinga uuzwaji wa filamu kutoka nje, wakidai zinaharibu soko la ndani. Wakati huo huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiahidi kushughulikia suala ...
Kwa mara ya pili serikali ya Kenya imepiga marufuku filamu inayoangazia masuala ya mapenzi ya jinsia moja iitwayo “I am Samuel”. Bodi ya filamu KFCB ilitangaza kuwa filamu hiyo haifai kutazamwa na ...